Aliyekuwa rais wa Zambia,  Edgar Lungu afariki dunia

Dar es Salaam. Aliyekuwa Rais wa Zambia, Edgar Lungu, amefariki dunia baada ya kuugua kwa muda mfupi. Taarifa za kifo chake zimetolewa leo Alhamisi Juni 5, 2025 na chama chake cha zamani, Patriotic Front (PF), kilichothibitisha kuwa kiongozi huyo ameaga dunia akiwa na umri wa miaka 68.  Lungu aliongoza Zambia kuanzia mwaka 2015 hadi 2021, baada…

Read More

KATIBU MKUU FATMA RAJAB ATAKA VIJANA NCHINI KUWA WAZALENDO

Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Zanzibar, Fatma Hamad Rajab amewata vijana nchini kuwa wazalendo, wenye maadili mazuri na kujituma ili kuchochea maendeleo ya Taifa. Aidha, amesema vijana ni nguzo muhimu katika ukuaji wa maendeleo ya Taifa, hivyo amewahimiza kuendelea kudumisha Amani, Mshikamano na kuwa na umoja. Katibu Mkuu Fatma Hamad…

Read More

DABI YA KARIAKOO: Hoja mpya za wazee Yanga

KAMA unadhani Yanga wanatania juu ya tishio lao la kuigomea Dabi ya Kariakoo iliyopangwa Juni 15 basi utakuwa umekosea, baada ya wanachama wa matawi wakiongozwa na wazee wa klabu hiyo kutoa msimamo mzito jana wakiupiga mkwara uongozi. Wanachama hao waendelea kusisitiza kwa kusema; ‘HATUCHEZI’ huku wakitoa hoja mpya kwa mabosi wa klabu hiyo kama wanatakiuka…

Read More

Mambo mawili yanayomsubiri Sheikh Ponda ACT- Wazalendo

Dar es Salaam. Kiongozi wa Chama cha ACT-Wazalendo, Dorothy Semu amesema uamuzi wa Sheikh Issa Ponda kujiunga na chama hicho unakwenda kuongeza chachu ya kisiasa na utasaidia kupigania haki na demokrasia nchini. Amesema Sheikh Issa Ponda ni mwamba wa harakati za kudai haki za binadamu na utawala bora wa sheria, na hivyo wanafuraha kumpokea ndani…

Read More

Sababu Waislam kuchinja Sikukuu ya Eid Udh-hiya

Ibada ya kuchinja (Udh-hiya) ni miongoni mwa alama kuu za Uislamu, ambapo Muislamu anakumbushwa kumwamini Allah Mtukufu kwa kumtakasia ibada, kumshukuru kwa neema Zake, na kufuata utiifu wa Baba yetu Ibrahim (Amani iwe juu yake) kwa Mola wake. Ibada hii ina baraka nyingi na kheri, hivyo ni Sunna iliyosisitizwa kwa Muislamu kuipa umuhimu na kuiheshimu….

Read More