BoT yaja na mfumo wa kukomesha mikopo umiza

Dodoma. Waziri wa Fedha, Dk Mwigulu Nchemba amezindua mfumo mpya wa kifedha unaolenga kushughulikia na kutokomeza changamoto zinazowakabili watumiaji wa huduma hizo ikiwamo suala la mikopo umiza na kausha damu. Mfumo huo umetajwa kuwa sehemu ya juhudi za Serikali kuhakikisha kunakuwapo na uwazi, uadilifu na ulinzi kwa wateja wa huduma za kifedha, hususan wale wanaoathirika…

Read More

Hii ndio sababu ya Mahujaji kukusanyika Arafa

Dar es Salaam. Ibada ya Hijja imeanza na leo Mahujaji kutwa nzima wanakusanyika  katika viwanja vya Arafa nje kidogo ya Mji Mtukufu wa Makka nchini Saudi Arabia. Ni viwanja ambavyo miaka zaidi ya miaka 1,400 iliyopita, kiongozi wa Waislamu, Mtume Muhammad (Rehma na amani zimshukie) alitoa kile kiitwacho Hotuba ya Kuaga, iliyokuwa ya mwisho kwake…

Read More

JAB yaanza kugawa Press Card kwa Waandishi wa Habari

Na Mwandishi Wetu, Dar es Salaam. ZIKIWA zimesalia siku 17 kwa Waandishi wa Habari Kujisajili katika Mfumo wa TAI-HABARI ili kuomba Ithibati na Kitambulisho cha Uandishi wa Habari (Press Card), tayari waliokidhi vigenzo vilivyoanishwa Kisheria wameanza kupewa Vitambulisho hivyo. Waandishi wa Habari wa kwanza kufika Ofisi za Bodi zilizopo Mtaa wa Jamhuri Jijini Dar es…

Read More

SERIKALI ITAENDELEA KUISIMAMIA SEKTA YA AFYA-MAJALIWA

*Ampongeza Rais Dkt. Samia kwa kuendelea kutoa vibali vya ajira sekta ya afya WAZIRI MKUU, Kassim Majaliwa amesema kuwa Serikali ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Rais Dkt. Samia Suluhu itaendela kuisimamia na kuipa hadhi sekta ya afya ikiwemo kwa kutoa vibali vya ajira pamoja na kujenga miundombinu ya kutolea huduma hizo katika ngazi zote….

Read More

MWENGE WA UHURU KUZINDUA KUWEKA MAWE YA MSINGI MIRADI 13 YA MAJI MKOANI TANGA YENYE THAMANI YA BILIONI 16.7

Na Oscar Assenga, TANGA JUMLA ya Miradi 13 katika Sekta ya Maji yenye thamani ya Sh.Bilioni 16,713,383,870 inatarajiwa kuzinduliwa na Mbio za Mwenge wa Uhuru 2025 mkoani Tanga ambao unatarajiwa kuwasili mkoani hapa kesho na kuzunguka maeneo mbalimbali kwenye mkoa huo. Akizungumza na waandishi wa habari leo Meneja wa Ruwasa Mkoa wa Tanga Mhandisi Upendo…

Read More