Ecobank Tanzania Yazindua Tawi Jipya Kariakoo, Yalenga Kuimarisha Biashara na Ushirikiano wa Afrika
Ecobank Tanzania imezindua rasmi tawi lake jipya katika eneo la Kariakoo, ikiwa ni hatua muhimu ya kusogeza huduma za kifedha karibu na kitovu kikuu cha biashara nchini. Tawi hilo lipo katika mtaa wa Mkunguni na Lumumba, ambapo limepokelewa kwa furaha na wafanyabiashara wa eneo hilo. Akizungumza wakati wa uzinduzi huo, Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wafanyabiashara…