Majaliwa aeleza sababu za kwenda Japan

Dodoma. Waziri Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa ameeleza kilichompeleka Japan kuwa ni kueleza fursa zilizopo nchini na kuwashawishi  wawekezaji kuja kuwekeza. Waziri Mkuu amesema soko la uwekezaji Tanzania ni kubwa na mazingira yake ni mazuri, kwani imezungukwa na nchi nane zinazotegemea soko hilo. Hivyo alikwenda nchini humo kuelezea fursa hizo na nafuu zilizopo kwenye sekta…

Read More

Puma Energy Yaanzisha Nishati Safi ya Mradi wa Umeme wa Jua kwa Kiwanda cha Alliance One Tanzania Tobacco Limited

 Kampuni ya Puma Energy Tanzania imetangaza uzinduzi rasmi wa kituo cha umeme wa jua chenye uwezo wa kilowati 570 katika kiwanda cha tumbaku cha Alliance One Tanzania Tobacco Limited (AOTTL).  Mradi huu mkubwa, ulioko takriban kilomita 200 kutoka jijini Dar es Salaam katika eneo la Kingolwira, Morogoro, ni hatua muhimu katika dhamira ya Puma Energy…

Read More

Timu ya Nahreel yazinduka WBDL

KAMA utani timu ya mpira wa kikapu ya Real Dream iliyoanza kwa kukatisha tamaa mashabiki katika Ligi ya Kikapu Mkoa wa Dar es Salaam (WBDL), imeshangaza wengi ni baada ya kuonyesha kiwango kikubwa katika mchezo dhidi ya Kigamboni Queens. Dream iliyoanzishwa na Emmanuel Mkono ajulikanaye kwa jina la kisanii kama Nahreel, katika mchezo huo iliishinda…

Read More

Sheikh Ponda atoa sababu kujiunga na ACT Wazalendo

Dar es Salaam. Katibu wa Jumuiya na Taasisi za Kiislam Tanzania, Sheikh Ponda Issa Ponda ametangaza kujiunga na chama cha ACT-Wazaendo akisema ameona umuhimu wa kuchangia nguvu katika operesheni ya ACT Wazalendo ya ‘Linda Demokrasia’, inayolenga kurejesha haki, uwazi na usawa katika michakato ya uchaguzi nchini Tanzania. Amesema anajiunga na chama hicho lengo ni kuhakikisha:…

Read More

Wazee wa Yanga Watoa Tamko, Wapinga Mchezo wa Derby Juni 15 – Video – Global Publishers

Dar es Salaam – Wazee wa Klabu ya Yanga wamejitokeza hadharani na kutoa tamko rasmi wakipinga vikali ushiriki wa klabu hiyo katika mchezo wa watani wa jadi (derby) unaodaiwa kupangwa kufanyika tarehe 15 Juni, 2025. Kupitia kikao maalum kilichofanyika jijini Dar es Salaam, wazee hao wamewaomba mashabiki na wanachama wa Yanga, hususan walioko mikoani, kutojisumbua…

Read More

Ishu ya Azam, Manula yafikia hapa

MABOSI wa Azam FC wameanza mipango ya kuimarisha kikosi cha timu hiyo kwa msimu ujao ikielezwa ipo hatua ya mwisho kumsainisha mkataba, kipa wa Aishi Manula, sambamba na kumbeba kiungo mahiri aliyekuwa akicheza soka la kulipwa huko Misri. Taarifa za uhakika ilizopenyezewa Mwanaspoti ni kwamba, Manula atasaini mkataba mpya leo Alhamisi baada ya jana kufanyiwa…

Read More

Jamii za Pasifiki za Kusini-Magharibi zinazotishiwa na joto la bahari, kupanda kwa kiwango cha bahari-maswala ya ulimwengu

Wanakijiji wanamaliza chaguzi za kurekebisha kama ujenzi wa maji ya bahari, kama inavyoonekana hapa Tarawa, Kiribati. Mikopo: Siku ya Lauren/Benki ya Dunia na mwandishi wa IPS (Johannesburg) Alhamisi, Juni 05, 2025 Huduma ya waandishi wa habari JOHANNESBURG, Jun 05 (IPS) – Pasifiki ya Kusini -Magharibi ilipata joto ambalo halijawahi kufanywa mnamo 2024, kulingana na ripoti…

Read More

Kinachoendelea kwa Chama, Yanga hiki hapa

MASHABIKI wa Yanga kwa sasa wanasikilizia ishu ya Dabi ya Kariakoo kama itapigwa au la, lakini kuna kitu kinaendelea ndani ya klabu hiyo kuhusu kiungo mshambuliaji, Clatous Chama. Mkataba wa Chama na Yanga utafikia tamati mara baada ya msimu huu kumalizika na pande hizo mbili zimeanza mazungumzo ya kuona kama kuna uwezekano wa kuwepo kwa…

Read More