Simba yagusa dili la Yanga
DIRISHA kubwa la usajili wa Ligi Kuu Bara linanukia na Mwanaspoti linafahamu kuna kitu kinaendelea baina ya Simba na Yanga nchini DR Congo. Mpaka sasa msimamo wa ligi unavyosomeka, Simba na Yanga ndiyo wawakilishi wa Tanzania Bara kwenye michuano ya Ligi ya Mabingwa Afrika msimu ujao huku Singida Black Stars na Azam zikienda Kombe la…