TARI Yahimiza Matumizi ya Kilimo Hifadhi

Na Mwandishi Wetu ,Dodoma TAASISI ya Utafiti wa Kilimo Tanzania (TARI) imetoa wito kwa wadau wa Kilimo kufanya shughuli za kilimo chenye tija ambacho kinazingatia uhifadhi wa Mazingira. Wito huo umetolewa na Mtafiti Daines Sanga kutoka Kituo cha TARI Makutupora katika Maonesho ya wiki ya Mazingira yanayoendelea viwanja vya Ukumbi wa Jakaya Kikwete (JKCC) Jijini…

Read More

Miili kadhaa iliyogunduliwa katika Makaburi ya Libya – Maswala ya Ulimwenguni

“Hofu zetu mbaya zaidi zinathibitishwa: miili kadhaa imegunduliwa kwenye tovuti hizi, Pamoja na ugunduzi wa vyombo vinavyoshukiwa vya kuteswa na unyanyasaji, na ushahidi unaowezekana wa mauaji ya ziada“Türk alisema. Tovuti ambazo miili iligunduliwa inaendeshwa na vifaa vya msaada wa utulivu (SSA), kikundi cha silaha kilichopewa jukumu la usalama wa serikali katika mji mkuu, Tripoli. Wameshukiwa…

Read More

Ukata unavyoweza kukwamisha maendeleo ya EAC

Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) ni ushirikiano wa kikanda uliolenga kuimarisha mshikamano kati ya nchi wanachama katika nyanja za kiuchumi, kijamii na kisiasa. Jumuiya hii ilianzishwa awali mwaka 1967 na nchi tatu za Kenya, Tanzania na Uganda, lakini ikavunjika mwaka 1977 kutokana na tofauti za kisera na kisiasa. Hata hivyo, juhudi za kuifufua zilianza tena…

Read More

Raia wa Kenya aliyedai ni Mtanzania, afukuzwa nchini

Tanga. Kuna usemi unaosema ukiwa muongo uwe na kumbukumbu, hiki ndicho kilichomuumbua raia wa Kenya, Mbaraka Mbaraka aliyekuwa anapinga kufukuzwa akidai ni Mtanzania, akasahau kuna mahali alikiri ni raia wa Kenya. Mamlaka za Tanzania zimesisitiza kuwa kitambulisho cha Taifa cha Tanzania kinachotolewa na Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (Nida), pasi ya Kusafiria ya Tanzania na…

Read More

Merika, Ukraine kati ya wanachama wapya waliochaguliwa kuwa Baraza la Uchumi na Jamii la UN – Maswala ya Ulimwenguni

Kroatia, Urusi na Ukraine zilipata viti kutoka kwa Kikundi cha Mkoa wa Ulaya Masharikiambayo ilikuwa na viti vitatu vilivyopatikana. Urusi ilichaguliwa katika kukimbia dhidi ya Belarusi, kwani mataifa yote mawili yalishindwa kupata idadi ya theluthi mbili katika mzunguko wa kwanza wa kura. Makedonia ya Kaskazini, mgombea wa tano kutoka kwa kikundi hicho, hakukutana na kizingiti…

Read More

TAASISI YA AGENDA YAPAZA SAUTI KUPINGA UCHAFUZI WA MAZINGIRA TAKA ZA PLASTIKI

   Katika kuadhimisha Siku ya Mazingira Duniani mwaka 2025, Shirika lisilo la Kiserikali Agenda for Environment and Responsible Development limeitaka jamii kuongeza juhudi za kupunguza matumizi ya Plastiki nchini. Akizungumza leo Juni 4, 2025 katika hafla ya Maadhimisho ya Siku ya Mazingira Duniani, Katibu Mtendaji wa AGENDA Bi. Dorah Swai, amesema kuwa  jamii ina wajibu…

Read More

WAZIRI MCHENGERWA AWAFUNDA WALIMU

:::::: Na John Mapepele  Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais – TAMISEMI, Mhe. Mohamed Mchengerwa ametoa rai kwa walimu nchini kuwa wazalendo na kuzingatia weledi ili kuongeza ufaulu wa wanafunzi.  Mhe. Mchengerwa ametoa rai hiyo kwenye mkutano wa walimu na wadau wa elimu wa Wilaya ya Rufiji uliofanyika kwenye ukumbi wa shule ya Sekondari ya…

Read More