MWANASHERIA MKUU WA SERIKALI AWAKUMBUSHA MAWAKILI WA SERIKALI WAJIBU WAO WAKATI WA MAJADILIANO YA MIKATABA

Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Mhe. Hamza S. Johari amewakumbusha Mawakili wa Serikali juu ya wajibu wao na masuala muhimu yanayohusu majadiliano ya mikataba mbalimbali ambayo Serikali au Taasisi inakusudia kuingia au ina maslahi nayo. Mwanasheria Mkuu wa Serikali ameyasema hayo tarehe 4 Juni, 2025 wakati akiwasilisha mada kuhusu mbinu za kufanya Majadiliano ya Mikataba na…

Read More

WANAUSHIRIKA WATAKIWA KUENDESHA USHIRIKA KWA TIJA

AFISA Ushirika Mkuu Tume ya Maendeleo ya Ushirika Tanzania TCDC Bw.Justin Mogendi,akiwasilisha mada wakati wa mafunzo kwa wanachama wa Vyama vya Ushirika vya Mazao ya Bustani ikiwa ni utekelezaji wa Mradi Kwa awamu ya pili mwaka 2024/2025 yaliyofanyika leo Juni 4,2025 katika Kijiji Cha Simhha Halmshauri ya Wilaya ya Mbulu mkoani Manyara. Na.Alex Sonna-HYDOM TUME…

Read More

Sasii afungiwa miezi sita, Fadlu, Sowah nao yawakuta

Mwamuzi Herry Sasii amekumbana na adhabu Kali, baada ya kufungiwa miezi sita kwa makosa ya kushindwa kutafsiri Sheria kwenye mchezo kati ya Simba na Singida Black Stars. Taarifa iliyotolewa na Kamati ya Usimamizi wa Ligi imesema Sasii amekumbana na adhabu hiyo baada ya kuwa na makosa mengi yaliyotafsirika kushindwa kumudu mchezo huo ambao Simba ilishinda…

Read More

Vilio, simanzi vya tawala wanandoa waliouawa wakizikwa

Moshi. Vilio na simanzi vimetawala katika mazishi ya wanandoa Geofrey Motta (60) na Blandina Ngowi (53) waliouawa kikatili nyumbani kwao Msufuni, Manispaa ya Moshi, mkoani Kilimanjaro usiku wa Mei 29, 2025. Geofrey alikatwa shingo na Blandina alinyongwa, kisha miili yao kutelekezwa ndani ya nyumba waliyoishi kwa kupanga. Mazishi yao yamefanyika Juni 4, 2025, katika makaburi…

Read More