 
        
            Kiwanda cha kusafisha, kuongeza thamani madini adimu kujengwa Songwe
Dar es Salaam. Kampuni ya Mamba Minerals Limited inayowekeza kwenye mradi wa madini adimu imeweka wazi mpango wake wa kujenga kiwanda cha kusafisha na kuongeza thamani madini adimu kijijini, Ngwala mkoani Songwe, badala ya kuyasafirisha yakiwa ghafi. Hayo yamesemwa leo Juni 4, 2025 Kijijini Ngwala, Songwe wakati wa uzinduzi wa ulipwaji fidia kwa wananchi 192…
 
                         
                         
                         
                         
                         
                         
         
         
         
         
         
        