MAYENGO ALITAKA JIMBO LA USHETU, ATANGAZA RASMI NIA

    Mhe. Simon Makoye Mayengo akitangaza rasmi nia ya kugombea Ubunge Jimbo la Ushetu Mkoa wa Shinyanga. Mhe. Simon Makoye Mayengo akitangaza rasmi nia ya kugombea Ubunge Jimbo la Ushetu Mkoa wa Shinyanga. Aliyekuwa Mjumbe wa Kamati ya Siasa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Shinyanga  Mhe. Simon Makoye Mayengo akiwa katika Ofisi za…

Read More

Mpango akemea wizi wa dawa za Serikali

Arusha. Makamu wa Rais wa Tanzania, Dk Philip Mpango amekemea wizi wa dawa za Serikali unaosababisha upungufu wa dawa katika vituo vya afya, akiagiza watakaobainika kujihusisha na vitendo hivyo wachukuliwe hatua stahiki. Dk Mpango ameyasema hayo leo Jumatano Juni 4, 2025 akizungumza katika Mkutano Mkuu wa 55 na Kongamano la Kisayansi la mwaka la Chama…

Read More

SMZ yaanzisha mwendo kukabili migogoro ya ardhi

Unguja. Katika kupunguza na kuondosha changamoto za migogoro ya ardhi, Serikali kupitia kamisheni ya ardhi imeshapima na kutoa hati za matumizi ya ardhi maeneo 6,416 kwa kipindi cha miaka mitano. Kati ya maeneo hayo, Unguja ni maeneo 3,914 na Pemba ni  2,502 ambayo yamepimwa tangu mwaka 2021 hadi mwaka huu kwa ajili ya matumizi ya…

Read More

CSR kutungiwa sera kumlazimisha mwekezaji kuchangia badala ya hiari

Unguja. Serikali ya Mapinduzi Zanzibar inaandaa sera mahususi itakayowalazimisha wawekezaji kutoa kiwango mahususi kwa ajili ya Uwajibikaji kwa Jamii (CSR), badala ya kila mwekezaji kutoa kiwango anachotaka mwenyewe. Mbali na sera pia Serikali ipo mbioni kukamilisha kanuni zitakazoainisha asilimia ya kiwango hicho kwenye miradi hiyo inayozunguka jamii husika. Hayo yamebainishwa leo Jumatano Juni 4, 2025…

Read More

SMZ kuanzisha chuo cha usimamizi wa fedha

Unguja. Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar (SMZ) imepanga kuanzisha Chuo cha Usimamizi wa Fedha Zanzibar (ZIFA) ikiwa ni sehemu ya mkakati wa kuimarisha elimu ya juu na usimamizi wa rasilimali fedha nchini. Waziri wa Fedha na Mipango, Dk Saada Mkuya, akiwasilisha bajeti ya wizara hiyo kwa mwaka wa fedha 2025/26 leo Juni 4, 2025, amesema…

Read More

Kibatala aeleza alipo Gwajima | Mwananchi

Dar es Salaam. Wakili, Peter Kibatala ameeleza alipo Askofu Josephat Gwajima ambaye tangu usiku wa kuamkia Juni 3, 2025, Jeshi la Polisi lilipovamia kanisani kwake Ubungo, Dar es Salaam, hajaonekana. Askofu Gwajima mara ya mwisho alionekana akiwa kanisani hapo jioni ya Juni 2, 2025 ikiwa ni siku ya kwanza ya maombi pamoja na kufunga yaliyopangwa…

Read More

Kilichobaki Bara ni vita ya nafasi na noti

LIGI Kuu Bara imesaliwa na mechi 19 ikiwamo Dabi ya Kariakoo kabla ya kufungwa kwa msimu huu, huku vita ya ubingwa ikisalia kwa vigogo Simba na Yanga, ilihali nafasi nyingine imebaki kuwa ni vita ya nafasi ya pesa za wadhamini wa ligi hiyo iliyoasisiwa mwaka 1965. Yanga ndio inayoongoza msimamo ikiwa na pointi 73, ikifuatiwa…

Read More

Wafanyabiashara wataja chanzo utoroshaji wa madini

Musoma. Baadhi ya wafanyabiashara na wachimbaji wa madini mkoani Mara wametaja utitiri wa kodi kuwa sababu ya baadhi ya wenzao kutorosha madini kwenda nje ya nchi, huku wakiiomba Serikali kuondoa changamoto hiyo. Kauli hiyo imetolewa leo na wafanyabiashara hao, Jumatano Juni 4, 2025, wakati wakizungumza na Mwananchi nje ya kongamano na maonyesho ya madini linaloendelea…

Read More