Wanadamu watano waliuawa katika shambulio la ‘kutisha’ juu ya mkutano wa misaada huko Sudani – maswala ya ulimwengu

Programu ya Chakula Duniani (WFP) na Mfuko wa watoto wa Umoja wa Mataifa (UNICEF) alilaani shambulio la kikundi cha pamoja cha kibinadamu na akakumbusha jamii ya kimataifa kwamba chini ya sheria za kibinadamu, misaada lazima iweze kusonga salama. “Msaada wa misaada lazima ulindwe na vyama vina jukumu la kuruhusu na kuwezesha kifungu cha haraka na…

Read More

Ouma aanza tambo mapema fainali FA

BAADA ya kuifanikisha Singida Black Stars kutinga fainali ya Kombe la FA kocha wa timu hiyo Mkenya, David Ouma ameweka wazi kuwa anafurahia mafaniko ya soka ambayo anaendelea kupata nchini. Singida BS iliichapa Simba kwa mabao 3-1 katika mechi ya nusu fainali ya Kombe la Shirikisho (FA), iliyopigwa wikiendi iliyopita kwenye Uwanja wa Tanzanite Kwaraa…

Read More

Wadau wapinga mamlaka, kufungiwa mtandao wa X

Dar es Salaam. Wakati Serikali ikithibitisha kuzuia mitandao inayoenda kinyume na maadili ya nchi, wadau wa mawasiliano wamekosoa uamuzi huo, wakipendekeza mamlaka ijikite kudhibiti maudhui yasiyofaa na sio kuuzima mtandao husika. Kwa mujibu wa wadau hao, kuzima mtandao kunavunja haki ya kikatiba ya wananchi kupata na kutoa taarifa, jambo linalowanyima uhuru wa kufanya uamuzi sahihi….

Read More

Mwalyanzi: Moto wa Mbeya City hauzimiki

KIUNGO mshambuliaji wa Mbeya City, Peter Mwalyanzi amesema ubora waliouonyesha katika Ligi ya Championship hautazimika kwani wamepania kuendelea nao hata kwenye Ligi Kuu Bara kutokana na uwekezaji na umoja uliopo ndani ya timu hiyo. Mbeya City imerejea Ligi Kuu Bara baada ya kukosekana kwa misimu miwili tangu iliposhuka 2022-2023, ikishika nafasi ya pili nyuma ya…

Read More

Bidhaa za plastiki bado mfupa mgumu

Dar es Salaam. Mageuzi ya kisera yatakayozuia uingizwaji wa plastiki Tanzania, kuanzisha mifuko itakayohamasisha urejelezaji wa taka zimetajwa kuwa njia zinazoweza kukomesha matumizi ya plastiki nchini. Kwa sababu licha ya jitihada zinazofanywa na mamlaka mbalimbali lakini fedha nyingi bado zinatumika na zinaendelea kuongezeka katika kuagiza bidhaa za plastiki kutoka nje ya nchi. Ripoti ya Benki…

Read More

Mlandege, KVZ vita nzito ubingwa ZPL

USHINDI wa mabao 3-0 iliyopata Mlandege dhidi ya Kipanga na ule wa KVZ iliyoinyoa Mwembe Makumbi City, umeziweka timu hizo mbili katika nafasi nzuri ya kubeba ubingwa wa Ligi Kuu Zanzibar (ZPL) ambao umetemwa mapema na waliokuwa watetezi, maafande wa JKU. Mlandege ilipata ushindi huo jana jioni katika mfululizo wa mechi za ligi hiyo iliyosaliwa…

Read More

Aliyekuwa muasisi wa Chaumma atimkia Chadema

Dar es Salaam. Aliyekuwa mmoja wa waasisi wa Chama cha Ukombozi wa Umma (Chaumma), Eugene Kabendera leo Jumatano, Juni 4, 2025 ametangaza kujiunga na Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema). Kabendera ametambulishwa mbele ya waandishi wa habari na Kaimu Naibu Katibu Mkuu wa Chadema Bara, Aman Golugwa, makao makuu ya Chadema, Mikocheni jijini Dar es…

Read More

Kipigo cha fumanizi chamlaza mochwari

Nairobi. Ukistaajabu ya Mussa, utayaona ya Firauni, methali hii yaonekana kudhihirika katika kisa cha kusikitisha cha Rosanna Kathure kutoka Meru, Kenya, ambaye alikumbwa na kadhia ya kupigwa vibaya na mumewe hadi kufikishwa chumba cha kuhifadhia maiti kwa kudhaniwa amefariki dunia. Akihojiwa na Tuko News ya nchini Kenya leo, Juni 4, 2025, mwanamama huyo amesimulia kuwa…

Read More