Waziri Kikwete atua Geneva kushiriki Mkutano wa 113 ILO

Ataeleza utekelezaji wa nchi kuhusu viwango vya kimataifa vya kazi na Ajira  Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu – Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu Mhe. Ridhiwani Kikwete amewasili Jijini Geneva Uswisi kushiriki Mkutano wa 113 wa Shirika la Kazi Duniani (ILO) . Katika Mkutano huo, Mhe. Ridhiwani ataeleza utekelezaji wa nchi kuhusu Viwango…

Read More

KUKUZA USTAHIMILIVU WA AKILI KATIKA ENZI YA KIDIJITALI

Na Mwandishi Wetu Tunaishi katika enzi ambayo skrini zimechukua nafasikubwa katika kila sehemu ya maisha yetu ya kila siku, kuanzia jinsi tunavyofanya kazi na kujifunza, hadinamna tunavyopumzika na kuwasiliana na wapendwawetu.  Kuanzia tunapofumbua macho asubuhi haditunapolala usiku, wengi wetu hujikuta tumeshikamanana simu janja, kompyuta, na kompyuta mpakato. Uwepo huu wa kudumu wa kidijitali umekuwa wakawaida…

Read More

Alazwa mochwari siku tatu akidhaniwa amekufa

Nairobi. Ukistaajabu ya Mussa, utayaona ya Firauni, methali hii yaonekana kudhihirika katika kisa cha kusikitisha cha Rosanna Kathure kutoka Meru, Kenya, ambaye alikumbwa na kadhia ya kupigwa vibaya na mumewe hadi kufikishwa chumba cha kuhifadhia maiti kwa kudhaniwa amefariki dunia. Akihojiwa na Tuko News ya nchini Kenya leo, Juni 4, 2025, mwanamama huyo amesimulia kuwa…

Read More

Mume aliyejaribu kumuua mkewe jela miaka 19

Arusha. Mahakama ya Rufani nchini imepunguza kwa miezi sita kifungo cha Michael Mlelwa, aliyepatikana na hatia ya kujaribu kumuua aliyekuwa mke wake, Ava Kavalukutu kwa kumkata na panga mara tatu kichwani. Mlelwa sasa atatumikia kifungo cha miaka 19 na miezi sita jela, baada ya awali kuhukumiwa miaka 20 na Mahakama Kuu ya Dar es Salaam….

Read More

Kama uhamishaji unazidi kuongezeka huko Sudani Kusini, shida ya kibinadamu ya kikanda inazidi – maswala ya ulimwengu

Vurugu kati ya vikundi vyenye silaha katika Jimbo la Upper Nile na viboreshaji vingine vimeongeza huduma muhimu, kusababisha ukosefu wa chakula na milipuko mbaya ya magonjwa, pamoja na kipindupindu – kuwalazimisha wengine kutengwa mara kwa mara. Karibu 65,000 wamehamishwa ndani katika Jimbo la Upper Nile pekee. Upataji wa misaada katika maeneo ya migogoro ni mdogo,…

Read More

Ondoa harufu ya kinywa kwa vyakula hivi

Dar es Salaam. Tatizo la harufu mbaya mdomoni liweza kusababishwa na mambo mbalimbali ikiwemo kuoza kwa mabaki ya chakula, usafi duni wa kinywa, magonjwa ya fizi pamoja na maambukizi ya bakteria katika kinywa. Hali hiyo huwakumba watu mbalimbali katika jamii. Wapo wanaojua na wasiojua kama vinywa vyao vinatoa harufu mbaya. Hata hivyo,  wataalamu mbalimbali wa…

Read More

ZAO LA PAMBA LINAWEZA KUPUNGUZA UMASKINI KUANZIA NGAZI YA KAYA MPAKA TAIFA

Na Oscar Assenga,TANGA WANANCHI wanaoishi kwenye maeneo yanayostahimili kilimo cha Pamba wametakiwa kuchangamkia fursa ya kulima zao hilo ambalo ni la kimkakati la kibiashara kutokana na kwamba linaweza kusaidia kupunguza kiasi cha umaskini kwenye ngazi ya kaya,wilaya na Taifa kwa ujumla Hayo yalisemwa jana na Afisa wa Bodi ya Pamba Tanzania Alphonce Ngawagala wakati akizungumza…

Read More