 
        
            MAHAKAMA YA HAKI ZA BINADAMU YAPATA RAIS MPYA TOKA MALI, MTANZANIA JAJI ABOUD AKIMALIZA MUDA WAKE
Na Seif Mangwangi, Arusha RAIA wa nchi ya Mali Jaji Modibo Sacko amechaguliwa kuwa Rais mpya wa Mahakama ya Kimataifa ya Watu na Haki za Binaadam (AfCPHR), akichukua nafasi ya Mtanzania Jaji Imani Aboud. Jaji Aboud amehudumu nafasi hiyo kwa vipindi viwili huku Rais mpya anayechukua nafasi yake akihudumu kama makamu wa Rais wa Mahakama…
 
                         
                         
                         
                         
                         
                         
         
         
         
         
        