BEI YA PETROLI JUNI MSEREREKO 2025

 :::::: Bei ya petroli, dizeli na mafuta ya taa kwa mwezi Juni 2025, imeendelea kuleta nafuu kwa watumiaji wa vyombo vya moto, nchini, ikilinganishwa na bei za mwezi Mei 2025.  Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA) leo 4 Juni 2025, kwa mafuta yaliyopokelewa bandari ya…

Read More

VITONGOJI 284 ARUMERU MASHARIKI VYAFIKIWA NA UMEME

……….. 📌  Ni kati ya Vitongoji 330 vya Jimbo la Arumeru Mashariki. 📌Kapinga asema upelekaji umeme unafanyika kwa  awamu kulingana na upatikanaji wa fedha Naibu Waziri wa Nishati, Mhe. Judith Kapinga amesema Serikali kupitia Wakala wa Nishati Vijijini (REA) imevifikishia huduma ya umeme Vitongoji 284 katika Jimbo la Arumeru Mashariki kati ya Vitongoji 330. Mhe….

Read More

Ikanga Speed yamemkuta Yanga | Mwanaspoti

LIGI Kuu Tanzania Bara ipo kwenye dakika za lala salama. Tayari nafasi nne za juu zimeshajulikana. Hiyo ikimaanisha kwamba Simba, Yanga, Azam na Singida watakwenda kimataifa msimu ujao. Baada ya uhakika huo, Yanga tayari wameanza kukaa mkao wa usajili wa dirisha kubwa wakiangalia zaidi maeneo ya kiungo mkabaji, beki wa kati, mshambuliaji wa mwisho, winga…

Read More

Azam yaanza na mbadala wa Fei Toto

HAWAJAWEKA wazi lakini tafsiri ya kiufundi ni kwamba Azam FC wako kwenye harakati za kujiandaa na lolote kwenye nafasi ya Feisal Salum ‘Fei Toto’ Staa huyo ambaye bado ana mkataba wa mwaka mmoja na Azam amekuwa akihusishwa na kujiunga na Simba, Yanga na Kaizer Chiefs msimu ujao ambapo kila mmoja kwa wakati wake anapambana kupata…

Read More

Nabi aona kitu Singida Black Stars

KOCHA wa zamani Yanga, Nasreddine Nabi amesema kuwa miongoni mwa timu hatari zijazo katika Ligi Kuu Bara ni Singida Black Stars. Hivi karibuni Nabi anaeifundisha Kaizer Chief ya Sauzi,alionekena katika mechi dhidi ya Simba na Singida Black Stars Jijini Dar es Salaam katika kile kilichoelezwa kuwa yuko kwenye mawindo ya usajili. Akizungumza na Mwanaspoti Jijini…

Read More

Sababu 5 za mtego wa dabi

BADO kuna utata juu ya hatma ya mchezo wa kiporo namba 184 kati ya Yanga na Simba ambapo kujua upande mmoja haujanyoosha maelezo kama mchezo upo au haupo hatua ambayo inaweka rehani mechi hiyo. Ukiwasikiliza Bodi ya Ligi Tanzania (TPLB) wanasema mchezo huo upo palepale kwamba utapigwa Juni 15 tarehe mpya ambayo ilishatangazwa. Simba wao…

Read More

Nchi tano zilizochaguliwa kutumika kwenye Baraza la Usalama la UN – Maswala ya Ulimwenguni

Watatumikia mwisho wa 2027 kwenye mwili wa UN kuwajibika kwa kudumisha amani na usalama wa kimataifa. Watajiunga na washiriki watano wasio wa kudumu waliochaguliwa mwaka jana – Denmark, Ugiriki, Pakistan, Panama, na Somalia – ambao watatumikia kupitia 2026. Baraza la Usalama ana Wajumbe 15: Wajumbe watano wa kudumu-Uchina, Ufaransa, Urusi, Uingereza, na Merika-ambao wanashikilia nguvu…

Read More