Mawakili wa Serikali waonywa mitego ya rushwa

Arusha. Waziri wa Katiba na Sheria, Dk Damas Ndumbaro, amewataka mawakili wa Serikali kuzingatia maadili ya kazi zao na kuepuka rushwa, akisisitiza kuwa rushwa haina siri na hatimaye hufichuliwa. Pia, amewahimiza kutambua changamoto na ugumu wa kazi zao, kwa kuwa ni jukumu la kuleta haki katika jamii. Amesisitiza wazingatie kutenda haki ili kuimarisha usawa na…

Read More

Kamati yaitaka Wizara ya Maji kuongeza usimamizi wa miradi

Unguja. Kamati ya Mawasiliano, Ardhi na Nishati ya Baraza la Wawakilishi imetoa wito kwa Wizara ya Maji Zanzibar kuhakikisha inapanga na kusimamia vizuri utekelezaji wa miradi yake, kutokana na malalamiko ya wananchi kuhusu upungufu wa huduma muhimu kama maji, nishati na ardhi. Akiwasilisha hotuba ya makadirio ya mapato na matumizi ya wizara hiyo leo Juni…

Read More

Rufaa ya waliotumwa na afande yapigwa kalenda

Dodoma. Mahakama Kuu Kanda ya Dodoma imeahirisha kusikiliza rufaa ya kupinga hukumu ya kifungo cha maisha gerezani inayowakabili aliyekuwa askari wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ), Clinton Damas, maarufu Nyundo, na wenzake watatu. Nyundo na wenzake watatu walihukumiwa kifungo cha maisha gerezani Septemba 30, 2024, baada ya kupatikana na hatia ya kubaka kwa pamoja…

Read More

Mwanaharakati mbaroni akihamaisha kupingwa muswada wa fedha

Nairobi. Wanaharakati nchini Kenya na Chama cha Mawakili Kenya (LSK) wamelitaka jeshi la polisi kumwachilia kwa dhamana mwanaharakati Rose Njeri ambaye alikamatwa na anaendelea kuwekwa kizuizini. Rose anashikiliwa kwa tuhuma za kutengeneza mtandao wa maoni na kuwashawishi Wakenya wenzake kushiriki katika hatua ya kupinga muswada wa fedha 2025. Njeri ambaye ni mfanyabiashara na mtaalamu wa…

Read More