Wiki ya Maziwa: TBS Yaelimisha Umma Kuhusu Umuhimu wa Kusoma Vifungashio
WATUMIAJI wa bidhaa watakiwa kusoma maelezo yanayopatikana katika vifungashio vya bidhaa kabla ya kununua bidhaa husika hususani muda wa matumizi. Ushauri huo umetolewa na Afisa Udhibiti ubora wa Shirika la Viwango Tanzania (TBS) Bi. Sarah Maro, wakati akizungumza na watembeleaji kwenye Maonesho ya Maadhimisho ya Wiki ya Maziwa yaliyofanyika katika viwanja vya zimoto Manispaa ya…