Mgunda anyoosha maneno Bara | Mwanaspoti
BAADA ya kukwepa mtego wa kushuka Ligi Kuu Bara, kocha mkuu wa Namungo, Juma Mgunda amesema walikuwa na msimu mbaya, lakini wamegundua walipokosea na sasa wanajipanga kurudi imara 2025/26. Namungo imemaliza msimu ikiwa nafasi ya tisa baada ya kukusanya pointi 35, imeshinda mechi tisa, sare nane na kupoteza mechi 13 ikifunga mabao 28 na kuruhusu…