Superheli Kukuzawadia Samsung A25 Mpya – Global Publishers

Wakali wa ubashiri Tanzania Meridianbet wanakwambia hivi, kama unataka kushinda Samsung A25 mpya kupitia kwenye promosheni yao mpya ya mwezi Juni unatakiwa kucheza mchezo pendwa wa kasino wa Superheli leo. Je unajua Superheli ni nini? Superheli ni mchezo mojawapo wa Kasino ambao unapatikana Meridianbet ambao una mandhari ya helikopta ambao ukiweka dau lako na kucheza…

Read More

Kigwangalla ammwagia maua MO Dewji, Simba

Mwanachama mwandamizi wa Simba na Mbunge wa Nzega Vijijini, Dk Hamis Kigwangalla amefurahishwa na maendeleo ya timu hiyo huku akisema kwa sasa anakoshwa na utendaji kazi wa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Simba, Bilionea Mohammed Dewji. Kigwangalla ametoa kauli hiyo akipinga taarifa feki iliyotolewa na ukurasa wa X uliojitambulisha kwa jina lake ukimlaumu Dewji…

Read More

Shinda Samsung A25 Kupitia Superheli

MERIDIANBET mwezi huu wa 6 inaendelea na kukuletea promosheni kubwa za Kasino ambazo zitakufanya ujizolee zawadi kabambe ikiwemo Samsung A25. Usisubiri kuhadithiwa tazama vigezo na masharti unafike na promosheni hii. Superheli ni mchezo mojawapo wa Kasino ambao unapatikana Meridianbet ambao una mandhari ya helikopta ambao ukiweka dau lako na kucheza mchezo huu unaweza kupata bonasi…

Read More

Makada wawili wa Chadema watimkia ACT-Wazalendo

Dar es Salaam. Wanasiasa wawili waliokuwa sehemu ya kundi la G55 kutoka Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Emmanuel Ntobi na Glory Tausi, wamejiunga na ACT Wazalendo. Hatua ya wawili hao kutimkia ACT- Wazalendo inakuja wiki mbili tangu wanamuungano wenzao wa G55, walipotangaza kujiunga na Chama cha Ukombozi wa Umma (Chaumma). Akizungumza baada ya hatua…

Read More

Utunzaji ovyo, mifugo vyateketeza miti zaidi ya 10,000

Musoma. Zaidi ya miti 10,000 iliyopandwa katika shule mbalimbali za msingi na sekondari mkoani Mara imekufa kutokana na changamoto mbalimbali, ikiwemo kuliwa na mifugo pamoja na ukosefu wa matunzo kutoka kwa taasisi husika. Miti hiyo ni sehemu ya jumla ya miti 45,000 iliyopandwa katika kipindi cha miaka minne iliyopita kupitia kampeni maalumu ya mazingira, iliyoendeshwa…

Read More

Wachumi wapinga wananchi kukatwa Sh100 kwenye simu

Dar es Salaam. Wataalamu wa uchumi nchini wamesema iwapo kodi na tozo zitaendelea kuongezwa kwa wananchi ambao ndiyo wazalishaji wa mali, uchumi wa nchi hauwezi kukua. Wameeleza kuwa msingi wa uchumi ni kuwaachia wananchi fedha ili wazitumie katika kufanya biashara, miamala na uwekezaji, “badala ya kuzipeleka serikalini kwa njia ya tozo nyingi zisizo na tija”….

Read More