Wazawa wakabidhiwa Mwendokasi Mbagala, mabasi 255 kutua, ajira 2,000
Dar es Salaam. Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Mabasi Yaendayo Haraka (Dart), Dk Athuman Kihamia amesema mradi wa mabasi yaendayo haraka awamu ya pili utaendeshwa na wazawa ambao wanatarajia kushusha mabasi 255. Dk Kihamia amesema hayo siku moja baada ya Msajili wa Hazina, Nehemiah Mchechu kusema sekta binafsi itakabidhiwa uendeshaji wa awamu ya kwanza na…