Padri Kitima aongoza misa ya shukrani, awapa ujumbe TEC

Dar es Salaam. Katibu Mkuu wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC), Padri Charles Kitima, ameongoza Misa ya Shukurani kwa mara ya kwanza tangu aruhusiwe kutoka hospitali alikokuwa akipatiwa matibabu kwa takriban mwezi mmoja, kufuatia tukio la kushambuliwa na watu wasiojulikana. Ibada hiyo imefanyika leo Juni 3, 2024 katika Kanisa la Bikira Maria Mkingiwa Dhambi…

Read More

Waumini wa kanisa la Gwajima washikiliwa na Polisi

Dar es Salaam. Kamanda wa Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, Jumanne Muliro amesema wanawashikilia baadhi ya waumini wa Kanisa la Ufufuo na Uzima la Askofu Josephat Gwajima lililopo Ubungo jijini Dar es Salaam. Kamanda Muliro amesema hayo leo Jumanne Juni 3, 2025 wakati akizungumza na Wasafi FM kuhusu kuwakamata waumini hao waliokaidi kanisa hilo…

Read More

Wenye ulemavu kicheko vyuo vikuu

Moshi. “Nilipochaguliwa kuja chuoni nilifikiri ulemavu wangu ungefanya niwe na maisha magumu chuoni, nilihisi nitakuwa mzigo kwa wenzangu kutokana na hali yangu kutokana na taarifa nilizokuwa nazo kuhusu mazingira ya chuo”. Hii ni kauli ya Emmanuel Kelvin kijana wa miaka 21 mwenye ulemavu wa miguu  anayesoma mwaka wa kwanza shahada ya Teknolojia ya Habari katika…

Read More

Profesa alilia somo la maadili shuleni

Mtaalamu bobezi wa falsafa na maadili nchini, Profesa Raymond Mosha, ametoa wito kwa Serikali, wadau wa elimu na jamii kwa ujumla kulitambua somo la maadili kuwa somo  mama, lililo huru na la lazima kuanzia ngazi ya awali hadi elimu ya juu, akieleza kuwa somo hilo ni msingi wa mafanikio ya elimu na maendeleo ya Taifa….

Read More