CHAMA CHA USHIRIKA UDURU WASHINDA KESI,SHAMBA LARUDISHWA RASMI
Mkuu wa Wilaya ya Hai, Mhe. Hassan Bomboko, amesema kuwa, shamba la Chama cha Ushirika Uduru Makoa lenye ukubwa wa ekari 358 limepokelewa rasmi na chama hicho baada ya kushinda kesi dhidi ya mwekezaji, Elisabeth Stegmeir. Akizungumza na wananchi wa eneo la Uduru Makaa, Wilayani Hai, Mhe. Bomboko ameeleza kuwa, hukumu ya kesi hiyo…