Viongozi elimu ya juu watwishwa zigo la ajira kwa wahitimu
Dar es Salaam. Viongozi wa taasisi za elimu ya juu nchini Tanzania wamehimizwa kuzingatia maadili, weledi na uzalendo wakati wa utekelezaji wa majukumu yao. Pia, wametakiwa kutumia maarifa waliyonayo na ubunifu kuleta suluhu ya changamoto zinazozikabili taasisi hizo ikiwamo ile ya ajira kwa wahitimu wa vyuo vikuu. Hayo yamebainishwa leo Jumatatu, Juni 2, 2025 na…