Madeni ya Serikali kwa MSD yawaibua wabunge
Dodoma. Wabunge wameitaka Serikali kulipa deni la Bohari ya Dawa (MSD) linalofikia Sh739.2 bilioni ili kuulinda mnyororo wa ugavi na kuhakikisha huduma zinawafikia wananchi kwa wakati na kwa utoshelevu. Wabunge wameyasema hayo leo Jumatatu Juni 2, 2025 wakati Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Afya na Masuala ya Ukimwi, Elibarick Kingu akiwasilisha makadirio…