Aucho, Mukwala wachemsha Uganda | Mwanaspoti
KIUNGO nyota wa Yanga, Khalid Aucho na mshambuliaji wa Simba, Steven Mukwala wamechemsha huko Uganda baada ya kushindwa kubeba tuzo tuzo za mashabiki kwa wachezaji wanaocheza nje. Tuzo hizo zilizofanyika Mei 30, chini ya Shirikisho la Soka Uganda (FUFA), Aucho na Mukwala waliangushwa Rodgers Mato, aliyeibuka mshindi. Mato ambaye ni mshambuliaji anayeichezea klabu ya Vardar…