Waandaaji Lina PG Tour waombwa kuendelea kuyaanda mashindano hayo kukuza vipaji vya gofu nchini
Na Mwandishi wetu MCHEZAJI wa gofu kutoka klabu ya Lugalo jijini Dar es Saalam, Meja Chediel Msechu amewataka waandaaji wa mashindano ya Lina PG Tour kuendelea kuandaa michuano hiyo ambayo ina lengo la kukuza vipaji katika mchezo wa gofu nchini. Meja Msechu ameyasema hayo jana wakati wa mashindano ya Lina PG Tour msimu wa tatu…