Wafanyabiashara wa Loliondo Kibaha wapangiwa maeneo mapya
Kibaha. Zaidi ya wafanyabiashara 1,000 katika mnada maarufu wa Loliondo Kibaha, Mkoa wa Pwani, wameanza kugawiwa maeneo mapya ya kufanyia biashara kila Jumamosi baada ya kuhamishwa kutoka eneo lao la awali. Hatua hii imekuja kufuatia uamuzi wa mamlaka husika kulipangia eneo hilo la zamani wauzaji wa matunda na mbogamboga, kwa lengo la kuimarisha mpangilio wa…