Mawe ya ujenzi Zanzibar kuagizwa Tanzania Bara
Unguja. Kutokana na changamoto ya upatikanaji wa mawe na mchanga kisiwani hapo, Serikali ina mpango wa kusafirishia madini hayo kutoka Tanzania Bara na kuyaleta hapa kwa lengo la kupunguza changamoto hiyo. Serikali imesema imejipanga kuhakikisha kuwa mawe na mchanga utakaotolewa Tanzania bara yanapatikana kwa gharama nafuu ili wananchi kuendeleza shughuli za ujenzi na miradi uwekezaji….