
TAASISI YA CHAGEI MKOANI RUVUMA YAFANYA USAFI WA FUKWE YA ZIWA NYASA -MBAMBA-BAY
Nyasa-Ruvuma. Katika kuadhimisha na kuelekea kilele Cha wiki ya Mazingira Duniani ambapo kilele ni Tar 05/6 Kila mwaka Taasisi ya Chagei kwa kushirikiana na Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Nyasa pamoja na wanafunzi wa Shule ya Sekondari ya Limbo wamefanya usafi wa Fukwe ya ziwa Nyasa Mbamba bay na kutoa vifadhia taka Ili kulinda…