BARRICK YAWEZESHA WANAFUNZI WA VYUO VIKUU VYA IRINGA KUPATA MAARIFA YA KUCHANGAMKIA FURSA KUPITIA KONGAMANO LA AIESEC
Msimamizi wa Mafunzo na Maendeleo wa Barrick nchini, Elly Shimbi (kushoto) akimpongeza mwanafunzi wa Chuo Kikuu cha Mkwawa,Mussa Constantine baada ya kumkabidhi cheti cha ushiriki wa kongamano hilo,wengine pichani ni Afisa Uhusiano wa Chuo Kikuu cha Iringa,Fanleck John, wa pili kutoka kulia ni Rais wa AIESEC Vicent Manira na Waziri Mkuu wa Serikali ya Wanafunzi…