UJENZI WA SHULE YA SEKONDARI YA WAVULANA BUNGE WAZINDULIWA

………… Na Ester Maile Dodoma  Bilioni  tatu zitatumika katika ujenzi wa sekondari ya wavulana bunge katika  kata ya kikombo mkoani Dodoma kilomita moja kutoka shule ya sekondari ya wasichana bunge. Ameyabainisha hayo leo 26 June 2025 jijini Dodoma  Spika wa Bunge la Jamhuri ya muungano wa Tanzania Dkt Tulia Ackson wakati akizindua ujenzi huo kata…

Read More

Kijo kocha mpya Zanzibar Sand Heroes

SHIRIKISHO la Mpira wa Miguu Zanzibar (ZFF), limemteua Kijo Nadir Nyoni kuwa kocha mkuu wa timu ya Taifa ya Zanzibar ya Soka la Ufukweni. Taarifa iliyotolewa leo Ijumaa Juni 27, 2025 na Ofisa Habari wa ZFF, Mohamed Kabwanga, imesema kocha huyo ana diploma C ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Afrika(CAF) na alishawahi kupata mafunzo…

Read More

MSAMA ADAI KUCHAFULIWA KISA VITA YA UBUNGE

 Mkurugenzi wa Msama Promotions, Alex Msama amewataka watanzania kupuuza habari zinazogaa kuwa amefukuzwa kwenye nyumba yake ya Upanga Dar es Salaam, “Video zinazosambaa zinatumika na watu wasio na nia njema na mimi na wana lengo la kunichafua hasa kipindi hichi cha vita za ubunge” Alex Msama

Read More

Hersi, Arafat, Ibwe wajitosa CCM kuwania ubunge

RAIS wa Yanga, Hersi Said, Makamu wake Arafat Haji na Ofisa Habari na Mawasiliano msaidizi wa Azam FC, Hasheem Ibwe, leo Juni 28, wamejitosa  kuchukua fomu za kuwania kuteuliwa kugombea ubunge kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM), katika uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyia Oktoba, mwaka huu. Hersi amechukua fomu za kuwania ubunge katika Jimbo la Kigamboni jijini…

Read More