Rais Samia Apongeza Bunge la 12 kwa Mchango wa Kisheria na Kisera
Na Emmanuel Mbatilo, Michuzi Tv Serikali imeendelea kutimiza ipasavyo wajibu wake kwa mhimili wa dola wa Kutunga Sheria kwani katika kipindi cha uhai wa Bunge la 12, kulipitishwa miswada 60, maazimio 922, na vilevile Serikali imetoa taarifa 15 kupitia kauli za Mawaziri bungeni kwa ajili ya kutoa ufafanuzi wa masuala yenye maslahi mapana kwa taifa….