June 2025
Rais Dkt Samia Awaapisha Viongozi Wateule Ikulu Chamwino Dodoma (Picha +Video)
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan akimuapisha Balozi Simon Nyakoro Sirro kuwa Mkuu wa Mkoa wa Kigoma kwenye hafla iliyofanyika Ikulu Chamwino mkoani Dodoma tarehe 28 Juni, 2025. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan Akiwaapisha Viongozi Wateule Ikulu Chamwino Dodoma, leo tarehe 28 Juni, 2025…
Serikali yamwaga ajira mpya bandari, omba hapa
Dar es Salaam. Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma kwa niaba ya Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA) na Chuo cha Takwimu Mashariki mwa Afrika (EASTC) imetangaza nafasi 184 za kazi. Tangazo hilo la ajira limetolewa Juni 27, 2025 ikiwa ni sehemu ya juhudi za Serikali kuimarisha utoaji wa huduma bora kwa wananchi…
FUNGASHADA NA HATARI YA USALAMA WA ZAO LA NDIZI
Farida Mangube, Morogoro Wakati serikali ikiendeleza mapambano dhidi ya magonjwa hatarishi kwa afya ya binadamu, sekta ya kilimo nayo inakumbwa na changamoto ya ugonjwa wa Fungashada unaoathiri migomba na kutishia uwepo wa zao la ndizi nchini. Ugonjwa wa Fungashada kitaalamu ukijulikana kama Banana Bunchy Top Disease (BBTD) unaosababishwa na virusi vya Banana Bunchy Top Virus…
Ouma ataja mambo matatu akiikabili Yanga
KOCHA wa Singida Black Stars, David Ouma amesema kikosi chao kipo tayari kwa mchezo wa fainali huku akitaja mambo matatu waliyojiandaa nayo. Singida Black Stars kesho Juni 29, 2025 itacheza dhidi ya Yanga katika mchezo wa fainali ya Kombe la Shirikisho (FA) utakaofanyika Uwanja wa New Amaan Complex, Zanzibar kuanzia saa 2:15 usiku. Timu hizo…
FUNGUO YATENGA ZAIDI YA SHILINGI BILIONI 2.5 KWA AJILI YA WAJASIRIAMALI WA TANZANIA
::::::: Na Mwandishi Wetu Dar es Salaam Katika hatua kubwa ya kuleta mapinduzi ya kiuchumi na kuchochea ukuaji wa biashara bunifu nchini, Mradi wa Ubunifu wa FUNGUO umetangaza fursa mbili mpya za ufadhili zenye thamani ya zaidi ya Shilingi Bilioni 2.5 kwa ajili ya kusaidia wajasiriamali wa Tanzania – hususan wale wanaoendesha biashara endelevu…
Ester Bulaya atimkia CCM, kuchukua fomu kugombea Bunda
Dar es Salaam. Aliyekuwa mbunge wa viti maalumu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Ester Bulaya ameweka wazi kuwa amerudi Chama Cha Mapinduzi (CCM) akitangaza kugombea Jimbo la Bunda Mjini mkoani Mara. Bulaya aliwahi kuwa mbunge wa viti maalumu (CCM) mwaka 2010 hadi 2015 kabla ya mwaka 2015 kuhamia Chadema ambapo aliwania ubunge wa…
TUWASA-Shilingi Bilioni 3.4 kufanikisha Mradi wa Maji Tunduru Mjini
Tunduru-Ruvuma. Changamoto ya huduma ya majisafi na salama kwa wakazi wa mji wa Tunduru Mkoani Ruvuma,inakwenda kumalizika baada ya Serikali kutoa zaidi ya Sh.bilioni 3,400,814,000 ili kuongeza upatikanaji na kuboresha huduma ya maji katika Mji huo. Hayo yamesemwa na Mkurugenzi Mtendaji wa Mamlaka ya majisafi na usafi wa mazingira Tunduru Mjini(TUWASA) Mhandisi Cuthbert Kiwia wakati…
Asante Kotoko yaitibulia Yanga Afrika Kusini
Kama Yanga ilikuwa na mpango wa kutetea ubingwa wa Kombe la Toyota mwaka huu huko Afrika Kusini, umekufa rasmi baada ya waandaaji wa mashindano hayo kuialika timu ya Asante Kotoko ya Ghana. Timu hiyo ya Ghana ndio itacheza kama mwalikwa katika mechi hiyo ambayo huwa dhidi ya wenyeji Kaizer Chiefs na sio Yanga ambayo ndio…
MOI YASOGEZA HUDUMA ZA KITAALAMU SABASABA 2025
:::::::: Na Amani Nsello- MOI Taasisi ya Tiba ya Mifupa na Ubongo Muhimbili (MOI) inatarajia kuendesha kliniki maalum ya kibobezi ya matibabu ya mifupa, ubongo, mgongo na mishipa ya fahamu katika Maonesho ya 49 ya Kimataifa ya Biashara ya Sabasaba kwa mwaka 2025. Hayo yamesemwa leo Ijumaa Juni 27, 2025 na Meneji Uhusiano wa MOI,…