Nanghejwa Kaboyoka atimkia ACT Wazalendo

Aliyekuwa Mbunge wa Viti Maalumu na kada wa zamani wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Nanghejwa Kaboyoka amejiunga na Chama cha ACT Wazalendo. Kaboyoka ambaye amewahi kuwa Mbunge wa Jimbo la Same Mashariki ametambulishwa leo Jumamosi, Juni 28, 2025 na Kiongozi wa ACT Wazalendo, Dorothy Semu. Huu ni mwendelezo wa waliokuwa wabunge 19 waliofukuzwa…

Read More

KULWA BITEKO ACHUKUA FOMU UBUNGE JIMBO LA KATORO

Kada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Kulwa Biteko kwa mara nyingine amechukua fomu ya kugombea ubunge katika Jimbo jipya la Katoro lililopo katika mamlaka ya mji mdogo wa Katoro wilayani Geita. Hii ikiwa ni muendelezo wa harakati zake kisiasa,ambapo mnamo mwaka 2020 alichukua fomu ya kugombea jimbo hilo ambalo hapo kabla liliitwa jimbo la Busanda….

Read More

Simba yatua Ivory Coast kusaka mbadala wa Camara

MABOSI wa Simba wameanza kuboresha kikosi kwa ajili ya msimu ujao ili kuongeza ushindani, huku suala la makipa likiwa kitendawili kutokana na kuripotiwa kutaka kuachana na Moussa Camara, jambo ambalo limewapeleka hadi Mauritania kupambana kunasa saini moja matata. Camara aliyejiunga na timu hiyo msimu huu akitokea Horoya AC ya kwao Guinea, inaelezwa huenda akaachana na…

Read More

WAKUNGA SASA KUJIFUNZA POPOTE KUPITIA SIMU – TEKNOLOJIA YAZINDULIWA

:::::: Na Mwandishi Wetu – Dar es salaam SERIKALI kwa kushirikiana na Ubalozi wa Denmark nchini wamezindua rasmi programu maalumu itayotumiwa na wakunga kujifunza namna ya kutoa huduma bora na kuongeza weledi katika huduma inayoitwa ‘Safe delivery App’. Programu hiyo imezinduliwa kupitia mradi wa “10 milioni safe birth initiative” utakaotekelezwa katika mikoa ya Dodoma na…

Read More

Wajumbe CCM wageuka lulu majimboni

Dar es Salaam. Kama ambavyo ungetamani shuka nyakati za baridi na chandarua panapo mbu, ndivyo walivyo muhimu wajumbe katika kipindi hiki ambacho Chama cha Mapinduzi (CCM), kinafungua pazia la mchakato wa ndani wa kuwapitisha wagombea wa udiwani, ubunge na uwakilishi. Umuhimu wa wajumbe, unatokana na jukumu lao katika mchakato huo –kupiga kura za maoni zinazoamua…

Read More

Maeneo saba kushindaniwa tuzo za utalii

Dodoma. Serikali imetaja maeneo saba ya ubora yatashindaniwa katika Tuzo za Utalii Duniani Kanda ya Afrika na Bahari ya Hindi kwa mwaka 2025 (World Travel Awards), zitakazofanyika Juni 28, 2025 jijini Dar es Salaam. Maeneo hayo ni eneo bora kwa utalii Afrika, bodi bora ya utali, kivutio bora cha utalii Afrika,  hifadhi bora zaidi Afrika,…

Read More