Hizi hapa njia kupambana na selimundu

Dar es Salaam. Utolewaji wa elimu, ugunduzi wa mapema, matibabu na utolewaji wa dawa kwa wakati ni miongoni mwa njia za kupambana na ugonjwa wa Selimundu zilizoainishwa na wataalamu wa afya. Ugonjwa wa selimundu ni tatizo la muda mrefu kwenye seli nyekundu za damu, ni hali anayozaliwa nayo mtu ikisababisha baadhi ya seli nyekundu za…

Read More

Kongamano la ‘ Green Finance ‘la CEOrt Roundtable lafanyika Dar

Na Mwandishi Wetu Jukwaa la Wakurugenzi Wakuu wa Makampuni Tanzania (CEOrt Roundtable) lililowakutanisha viongozi wakuu kutoka sekta ya fedha, sekta binafsi, na taasisi za maendeleo limefanyika jijini Dar es Salaam likiwa na kaulimbiu ya “Kuhamasisha Rasilimali kwa Mabadiliko ya Kijani,”. Kongamano hilo liliangazia mbinu bunifu na changamoto muhimu katika upanuzi wa fedha ( green finance)…

Read More

Serikali yajitosa huduma za teksi mtandao

Dar es Salaam. Ni rasmi Serikali imejitosa kwenye huduma za teksi mtandao, hivi ndivyo inavyoweza kutafsiriwa kufuatia Shirika la Posta Tanzania kuingia mkataba na kampuni ya taksi mtandao kutoa huduma za usafirishaji wa abiria na vifurushi. Katika kuongeza wigo wa huduma hizo ushirikiano huo utawezesha kusafirishwa pia kwa mizigo kutoka maeneo mbalimbali nchini na kutoa…

Read More

Kuongezeka kwa mahitaji ya cobalt mafuta yanayoendelea shida ya kibinadamu katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo – Maswala ya Ulimwenguni

Watu waliohamishwa ndani (IDP) wanaoishi katika Kambi ya Roe katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo Mikopo: Picha ya UN/Es mondeer Debebe na Juliana White (Umoja wa Mataifa) Alhamisi, Juni 26, 2025 Huduma ya waandishi wa habari Umoja wa Mataifa, Jun 26 (IPS) – Mahitaji ya cobalt na madini mengine yanaongeza shida ya kibinadamu ya miongo…

Read More

ATF yafundwa kupata fedha za afua za Ukimwi

Dodoma. Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu), William Lukuvi ameielekeza Bodi ya Mfuko wa Udhamini wa Ukimwi (ATF) kubuni mbinu za ndani za kutafuta fedha za kugharamia afua za Ukimwi, kufuatia kupungua kwa misaada ya wahisani kwa takriban asilimia 40. Amesisitiza umuhimu wa kujitegemea kifedha ili kuhakikisha uendelevu wa mapambano…

Read More

CCM Tanga yaapa kuwakata wagombea wala rushwa

Tanga. Wakati joto la uchaguzi mkuu 2025 likizidi kupamba moto, Chama cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Tanga kimeweka wazi msimamo wake kuwa kitakata majina ya watia nia au wagombea wote wanawania udiwani na ubunge watakaobainika kujihusisha na utoaji rushwa. Chama hicho kimebainisha kuwa kitahakikisha mchakato wote wa kura za maoni katika kata 245 majimbo 12…

Read More