TANZANIA YAINGIA KINYANG’ANYIRO KATIKA VIPENGELE 50 TUZO ZA WORLD TRAVEL AWARD.
Na Janeth Raphael MichuziTv -Dodoma Waziri wa Maliasili na Utalii Mhe Dkt Pindi Chana amesema kuwa Tanzania imepewa heshima ya kuwa mwenyeji katika tukio la utoaji Tuzo za Utalii Duniani Kanda ya Afrika na Bahari ya Hindi kwa mwaka 2025 zinazofahamika kama World Travel Award. Mhe Chana amesema hayo mapema Leo hii Jijini Dodoma Juni…