Askofu Laizer asimikwa kuwa msaidizi wa Askofu KKKT

Arusha. Kanisa la Kilutheri Afrika Mashariki (KKAM) limemsimika na kumuingiza kazini Mchungaji Jeremia Laizer, kuwa msaidizi wa Askofu Mkuu Dayosisi ya Arusha. Mchungaji Laizer aliyekuwa Mkuu wa Jimbo la Magharibi amesimikwa leo Juni 30, 2025 katika Kanisa la KKAM Dayosisi ya Arusha Jimbo la Magharibi katika Parokia ya Mto wa Mbu. Akimsimika Mchungaji Laizer, Askofu…

Read More

Profesa Janabi akabidhiwa ofisi WHO

Dar es Salaam. Profesa Mohamed Janabi, ambaye ni Mkurugenzi wa Shirika la Afya Duniani (WHO) Kanda ya Afrika amekabidhiwa ofisi na kuanza rasmi kazi. Janabi amepokewa ofisini kwake leo Jumatatu, Juni 30, 2025 kwenye ofisi za Kanda ya Afrika zilizopo nchini Congo, Brazzaville, baada ya kula kiapo Mei 28, 2025 mwaka huu. Katika nafasi yake…

Read More

Huyu ndiye amechukua nafasi ya Arafat Haji PBZ

Unguja. Rais wa Zanzibar amemteua Fahad Soud Hamid kuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Watu wa Zanzibar (PBZ). Kwa mujibu wa taarifa iliyosainiwa na Katibu Mkuu Kiongozi, Zena Said na kutumwa kwa vyombo vya habari leo Juni 30, 2025, uteuzi huo unaanza kesho Julai mosi, 2025. “Kabla ya uteuzi huo, Fahad alikuwa Mkurugenzi msaidizi, Idara…

Read More

RC Iringa awaapisha maDC walioteuliwa na Rais Samia

‎Iringa. Mkuu wa Mkoa wa Iringa, Kheri James amewaapisha wakuu wa wilaya walioteuliwa na Rais Samia Suluhu Hassan hivi karibuni kuongoza wilaya za Iringa na Kilolo zilizopo mkoani humo. Walioapishwa ni Benjamin Sitta, Mkuu wa Wilaya ya Iringa na Estomin Kyando, Mkuu wa Wilaya ya Kilolo. James amewaagiza viongozi hao kufanya kazi kwa bidii ili…

Read More

RC Batilda akerwa utoro wa watumishi kazini, atoa agizo

Tanga. Mkuu wa Mkoa wa Tanga, Balozi Batilda Burian amepiga marufuku uombaji wa ruhusa usio na lazima kwa watumishi wa Serikali wakiwamo wakuu wa wilaya, na badala yake wafanye kazi kama walivyoahidi kwenye viapo vyao katika kutatua kero za wananchi. Akizungumza wakati wa kuwaapisha wakuu wa wilaya ya Muheza Ayubu Sebabile na Salum Nyamwese wa…

Read More

Simulizi ya baba wa bibi barusi alivyopata taarifa ya ajali Same akiwa kwenye sherehe

Moshi. Jaffary Michael ambaye ni baba wa bibi harusi aliyepoteza ndugu, jamaa na marafiki 30 katika ajali ya mabasi mawili yaliyogongana na kulipuka moto wilayani Same Mkoa wa Kilimanjaro, amesimulia jinsi alivyopokea taarifa ya ajali hiyo akiwa ukumbini wakati sherehe ya binti yake ikiendelea. Michael aliyewahi kuwa mbunge wa Moshi mjini mwaka 2015-2020, ametoa simulizi…

Read More

JOSEPH MHAGAMA ACHUKUA FOMU UBUNGE MADABA

Aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Madaba mkoani Ruvuma kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Joseph Kizito Mhagama, amechukua fomu ya kuwania tena nafasi ya ubunge wa jimbo hilo kwa lengo la kuendeleza jitihada za kuwaletea wananchi maendeleo endelevu. Akizungumza mara baada ya kuchukua fomu hiyo, Mhagama amekishukuru chama chake kwa kumpa nafasi ya kushiriki mchakato wa…

Read More