Kibano waandishi wanaoingia kwenye siasa
Dar es Salaam. Bodi ya Ithibati ya Waandishi wa Habari (JAB) imeweka msimamo kwa waandishi wa habari waliotangaza na wale wenye nia ya kuingia kwenye siasa katika uchaguzi mkuu wa Oktoba 2025 kutoendelea kufanya kazi za uandishi wa habari. Msimamo wa bodi hiyo umekuja kipindi ambacho baadhi ya waandishi wa habari tayari wameshatangaza nia ya…