Washindi Tuzo ya Safal ya Kiswahili kujulikana Julai 3
Dar es Salaam. Wakati washindi wa tuzo ya Kiswahili ya Safal ya Fasihi ya Afrika kwa tanzu za riwaya, ushairi, wasifu, tamthilia na michoro wakitarajiwa kutangazwa Julai 3, 2025, imeelezwa kuwa kiwango cha ubora wa miswada inayoshindanishwa kinaongezeka kila mwaka, lengo likiwa ni kukienzi Kiswahili. Hayo yamesemwa leo Alhamisi Juni 26, 2025 jijini Dar es…