Mradi wa Dege Eco Village ndoto iliyofutika, Serikali yasisitiza uuzwe
Dodoma. Serikali ya Tanzania imefuta ndoto ya kuendeleza mradi wa Dege Eco Village uliopo Kigamboni jijini Dar es Salaam, wenye thamani ya zaidi ya Sh1.3 trilioni uuzwe kwa mwekezaji mwingine, baada ya kujiridhisha kuwa itakuwa ni hasara kuendelea nao. Kauli hiyo inatolewa takribani miaka miwili imepita tangu, Mfuko wa Taifa wa Hifadhi ya Jamii (NSSF)…