Bonge La Dada Adaiwa Kuvuruga Ndoa Mtandaoni! – Global Publishers
Mrembo maarufu kwenye mitandao ya kijamii, Queen Fraison almaarufu kama Bonge la Dada. Mrembo maarufu kwenye mitandao ya kijamii, Queen Fraison almaarufu kama Bonge la Dada, kwa sasa ni moto wa kuotea mbali! Sio kwa sababu ya kiki tu, bali miondoko yake ya mauno, tabasamu lake la kuvutia na muonekano wake wa…