Siku 15 za moto ziara ya Wasira mikoa ya Ruvuma, Geita, Mwanza
Mwanza. Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Stephen Wasira anaendelea na ziara yake ya kukagua uhai wa chama ambao amezungumza na viongozi na wanachama katika mikoa mitatu ya Ruvuma, Geita na Mwanza. Wasira alianza ziara yake Juni 10, 2025 mkoani Ruvuma ambapo alitembelea wilaya zote za mkoa huo, kisha akaelekea Geita ambako…