Serikali Zambia yapeleka zuio la mahakama, mazishi ya Lungu yasimamishwa Afrika Kusini

Johannesburg. Mgogoro kuhusu mahali atakapozikwa Rais wa zamani wa Zambia, Edgar Lungu, umechukua sura mpya baada ya Mahakama Kuu ya Afrika Kusini kusitisha mazishi yaliyokuwa yamepangwa kufanyika leo, Jumatano. Familia ya Lungu, ambayo imepinga ushiriki wa Rais wa sasa wa Zambia, Hakainde Hichilema, katika mazishi hayo, imeshindwa kumzika leo, Jumatano, Juni 25, 2025, baada ya…

Read More

Yanga yatetea ubingwa Ligi Kuu ikiichapa Simba

Pacome Zouzoua na Clement Mzize wamekuwa mashujaa wa Yanga leo hii baada ya kuiongoza timu yao kuibuka na ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Simba kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa, yaliyoihakikisha timu hiyo ubingwa wa Ligi Kuu msimu huu. Matokeo hayo yameifanya Yanga imalize ikiwa kileleni mwa msimamo wa Ligi na pointi 82 huku Simba…

Read More

Kenya yazuia maandamano ya Gen-Z kuoneshwa mubashara

Nairobi. Maandamano yanayoendeshwa na kizazi cha Gen-Z  Kenya yamefanya Mamlaka ya Mawasiliano (CA) kuagiza vituo vyote vya televisheni na redio kuacha kurusha matangazo ya moja kwa moja ya maandamano hayo yanayoendelea. Uamuzi huo umelalamikiwa na vituo vikubwa binafsi vya televisheni, ikiwamo NTV na KTN, ambavyo vimesema polisi walivamia vituo vyao na kuzima matangazo, huku Kituo…

Read More

YANGA SC MABINGWA NBCPL 2024-2025

NA EMMANUEL MBATILO, DAR ES SALAAM KLABU ya Yanga imeibuka mabingwa wa ligi kuu Tanzania bara (NBCPL) baada ya kufanikiwa kushinda mechi yao ya kiporo dhidi ya mahasimu wao Simba Sc ambao nao walihitaji ushindi kwenye mchezo huo ili waweze kuwa mabingwa. Katika mchezo huo ambao ulikuwa vute ni kuvute, Yanga iliweza kuukamata mchezo katika…

Read More