Rais Samia atoa ujumbe kwa viongozi Afrika
Dar es Salaam. Rais Samia Suluhu Hassan amezitaka nchi za Afrika kuhakikisha zinakuwa na amani na umoja wa kitaifa ili kushirikiana kufanikisha hatua nyingine za mageuzi ya kifikra na kutafuta uhuru wa kiuchumi. Hatua mojawapo, amesema, ni kuhakikisha nchi hizo zinaunganisha watu na kuleta umoja wa kitaifa, ikiwa ni sehemu ya jitihada ya kujitafutia uhuru…