Watanzania 42 waliokwama Israel kurejea leo nchini
Dar es Salaam. Watanzania 42 waliokuwa wamekwama nchini Israel kutokana na machafuko yaliyoibuka kati nchi hiyo na Iran, watarejea leo Tanzania, kwa ndege ya Ethiopian. Hatua hiyo inakuja kutokana na kuibuka mgogoro kati ya Israel na Iran uliodumu kwa siku 12 tangu kuanza kwake Juni 13, 2025. Kabla ya jana Marekani kutangaza kusitisha vitha dhidi…