Uhaba wa fedha unatishia unafuu kwa mamilioni ya wakimbizi wa Sudan: WFP – Maswala ya Ulimwenguni

Katika tahadhari, shirika la UN lilionya kwamba inakabiliwa na “kupunguzwa sana” kwa msaada wa kuokoa chakula, ambayo inaweza “kusaga kwa kusimamishwa” katika Jamhuri ya Afrika ya Kati, Misiri, Ethiopia na Libya katika miezi ijayo wakati rasilimali zinamalizika. WFP Ilibainika kuwa hali ya wakimbizi wengi wa Sudan tayari ni mbaya, zaidi ya miaka miwili tangu vita…

Read More

Prisons yagoma kushuka, yaichongea Fountain Gate

MAAFANDE wa Tanzania Prisons wamegoma kushuka daraja kwa mara nyingine baada ya kuifumua Fountain Gate mabao 3-1 katika mechi ya marudiano ya play-off iliyopigwa kwenye Uwanja wa Sokoine, jijini Mbeya. Msimu wa 2021-2022 Prisons ilinusurika pia kushuka daraja kupitia play-off dhidi ya JKT Tanzania kwa ushindi wa jumla wa mabao 2-1, baada ya kushinda ugenini…

Read More

Jangwani hapatoshi, Mbosso aipiga Aviola 

Ni shamrashamra, burudani na furaha ya aina yake katika makao makuu ya Klabu ya Yanga, ambapo mashabiki kwa maelfu wamefurika kusherehekea kilele cha paredi la mataji matano, ikiwa ni hitimisho la msimu wa mafanikio kwa timu yao. Paredi hiyo ilianza mchana leo katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere, jijini Dar es Salaam,…

Read More

Yanga yatumia saa tano paredi barabarani

YANGA imetumia takribani saa tano kwenye paredi la ubingwa kuanzia Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julisu Nyerere hadi kufika makao makuu ya timu hiyo, Jangwani. Kutoka uwanja wa ndege saa 7:20 mchana hadi kufika makao makuu ya timu hiyo imefika saa 11:52 jioni. Msafara huo umeongozwa na wachezaji wa timu hiyo wakiwangozwa na nahodha…

Read More

Hersi, Kamwe wageukia kivutio Yanga

Rais wa Yanga Hersi Said, ofisa habari wa klabu hiyo Ally Kamwe na kiungo mshambuliaji Clatous Chama wameibuka washehereshaji kwa kucheza juu ya gari lililobeba mataji ya klabu hiyo. Watatu hao wamesimama na kucheza nyimbo mbalimbali zilizopigwa ukiwemo Aviola baada ya gari hiyo kusimama zaidi ya nusu saa kutokana na foleni. Msafara wa Yanga ulitoka…

Read More

MLAPONI AUTAKA UDIWANI KATA YA KIMANG’A

Joto la uchukuaji fomu kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) linazidi kupamba moto ambapo sasa Ndugu Hamisi Mlaponi amechukua rasmi fomu kwa ajili ya nafasi ya Udiwani katika kata ya Kimang’a, wilayani Pangani, mkoani Tanga. Mlaponi ni Mwanasayansi katika eneo la Jamii anayejihusisha na masuala ya misaada ya kibinaadamu na kuhamasisha mifumo ya hifadhi ya jamii…

Read More

KIMEI AREJESHA FOMU KUOMBA MITANO TENA VUNJO

NA MWANDISHI WETU, VUNJO.  ALIYEKUWA Mbunge wa Jimbo la Vunjo, Dkt. Charles Stephen Kimei, leo mchana amerejesha rasmi fomu ya kuomba ridhaa ya kuwania tena ubunge wa Jimbo hilo kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) katika ofisi za chama Wilaya ya Moshi Vijijini. Katika kipindi chake cha kwanza cha uongozi (2020–2025), Dkt. Kimei amefanikisha kwa kiwango…

Read More