Job, Diarra watwisha mabomu Yanga

NAHODHA wa Yanga, Dickson Job na kipa wa timu hiyo, Djigui Diarra wametishwa mabomu ya kikosi hicho baada ya kutangulia kuingia ndani ya Uwanja wa Benjamin Mkapa wakati wa kupasha misuli moto yaani ‘Warm-Up’. Hiyo ni kuelekea pambano la Dabi ya Kariakoo linalotarajiwa kupigwa leo Saa 11:00 jioni, ambapo ilishuhudiwa nyota hao wakitoka wenyewe wawili…

Read More

Diarra gumzo Yanga ikikagua uwanja, Simba yakausha

KIPA namba moja wa Yanga, Djigui Diarra ameibua gumzo muda mchache baada ya kikosi hicho kuingia kukagua Uwanja wa Benjamini Mkapa ambao unatarajiwa kupigwa mchezo wa Dabi ya Kariakoo dhidi ya watani zao Simba. Wakati wachezaji wenzake wakiwa ndani ya uwanja, yeye alikuwa anazunguka nje ya eneo la kuchezea na kuchezea nyavu za goli la…

Read More

Kwa Mkapa kweupeee | Mwanaspoti

UWANJA wa Benjamin Mkapa Dar es Salaam ambao utatumika kuchezewa mechi ya dabi kati ya Yanga na Simba uko mweupe kwenye baadhi ya majukwaa. Saa 11 kamili jioni itachezwa mechi ya dabi ya Kariakoo kati ya mwenyeji wa mchezo huo Yanga na Simba ambao utahitimisha msimu wa 2024/25. Lakini zikiwa zimesalia saa chache kabla ya…

Read More

TAMWA Yalaani Kejeli Dhidi ya Wanawake Wanasiasa, Yatoa Wito wa Heshima na Usawa

MWASISI wa Chama cha Wanahabari Wanawake Tanzania(TAMWA) Edda Sanga amesema Rais Samia Suluhu Hassan ni rais wa kwanza mwanamke ambaye Tanzania inajivunia kuwa na kiongozi wa juu mwanamke. Amesema udhalilishaji unaofanywa kwenye mitandao ya kijamii dhidi ya wanawake wanasiasa, unajenga taswira kuwa mwanamke hafai katika ngazi ya uongozi. “Kama udhalilishaji huu unakwenda hivyo unavyokwenda, bado…

Read More

Simba yaitangulia Yanga Kwa Mkapa

KIKOSI cha Simba kimekuwa cha kwanza kuwasili kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa ikiwatangulia wenyeji, Yanga kwa dakika mbili na kuliamsha shangwe kwa mashabiki wa timu hizo walianza kuujaza uwanja huo. Msafara wa Simba umefika uwanjani hapo saa 9:26 alasiri ikiwa kwenye basi lao kubwa, huku mbele kukiwa na ya askari polisi. Wakati Simba ikifika uwanjani…

Read More

Kisa Simba, Yanga wataka mageti yafungwe

MASHABIKI wa Yanga wakorofi sana, hebu soma hii. Wakati Simba ikimaliza kuingia geti kubwa la Uwanja wa Benjamin Mkapa, kuna kituko watani wao wakakifanya hata polisi imebidi wacheke. Wakati Simba ikiingia tu, mashabiki wa Yanga wakashangilia kwa nguvu, kisha wakaanza kuwapigia kelele askari wa getini wakiwataka kufunga geti. Mashabiki hao wametoa kauli hiyo wakisema hawataki…

Read More

Simba yaingilia Kwa Mkapa mlango sio

KIKOSI cha Simba kimekuwa cha kwanza kuwasili kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa katika pambano la timu hiyo dhidi ya watani zao Yanga huku ikitumia mlango usiokuwa rasmi wa kubadilishia nguo (Dressing Room). Mechi hiyo ya Dabi ya Kariakoo kati ya timu hizo inayotarajiwa kupigwa kuanzia saa 11:00 jioni, imeshuhudia msafari wa Simba ukiwasili mapema Saa…

Read More

WADAU WAMCHANGIA UMMY MWALIMU MILIONI 1.3 ZA FOMU YA UBUNGE

…………………. NA: MWANDISHI WETU, TANGA  Wadau mbalimbali wamemchangia Mbunge wa Jimbo la Tanga Mjini, Ummy Mwalimu, fedha kiasi cha Shilingi 1,300,000, ili zimuwezeshe kuchukua fomu ya Ubunge ili agombee tena nafasi hiyo kwa kipindi kingine katika Uchaguzi Mkuu unaotarajiwa kufanyika mwezi Oktoba mwaka huu  Fedha hizo ni matokeo ya michango ya hiari kutoka kwa wadau…

Read More