Serikali yapiga marufuku matangazo mubashara maandamano ya Gen ‘Z’ Kenya
Nairobi. Serikali imeamuru vyombo vyote vya habari vinavyoendesha vituo vya televisheni na redio nchini Kenya kusitisha urushaji wa matangazo ya moja kwa moja ya maandamano yanayoendelea nchini humo, huku Chama cha Wahariri nchini humo (KEG) kikikosoa uamuzi huo. Hatua hiyo imetangazwa leo Jumatano Juni 25, 2025, kupitia taarifa kwa umma ya Tume ya Mawasiliano Kenya…