Gen ‘Z’ waliamsha tena Kenya, shule zafungwa Nairobi
Nairobi. Kenya bado hakujatulia. Ndivyo unavyoweza kusema baada ya maelfu ya vijana nchini humo kuingia barabarani wakiandamana. Japo haijafahamika lengo la vijana nchini humo kuingia barabarani hata hivyo, taarifa zinadai azma ya vijana hao ni kupinga hali ya maisha inayoendelea pamoja na kutoridhishwa na utendaji kazi Serikali nchini humo likiwamo Bunge. …