WAJASIRIAMALI 400 KUKUTANA UDSM KUCHOCHEA UCHUMI JUMUISHI

:::::::: Na Mwandishi wetu Dar es dsalaam  Wajasiriamali wapatao 400 kutoka sehemu mbalimbali nchini wanatarajiwa kushiriki katika maadhimisho ya Siku ya Kimataifa ya Wajasiriamali wa Biashara Ndogo na za Kati, yatakayofanyika Juni 27, mwaka huu, katika Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM), yakiwa na lengo la kuongeza mchango wa sekta hiyo katika kukuza uchumi…

Read More

BODI YA TFS YATEMBELEA HIFADHI ZA PUGU

:::: Na Mwandishi Wetu, Kisarawe – Pwani Ujumbe wa Bodi ya Ushauri ya Wakala wa Huduma za Misitu Tanzania (TFS) umetembelea Hifadhi za Mazingira Asilia za Pugu–Kazimzumbwi na Vikindu mkoani Pwani, ukielezea kuridhishwa na kasi ya uwekezaji wa miradi ya uhifadhi na utalii wa ikolojia inayoendelea kutekelezwa na TFS. Ziara hiyo ya siku mbili, iliyoanza…

Read More

Kocha JKT Tanzania awapa shavu wazawa

KOCHA wa JKT Tanzania, Ahmad Ally amesema kwa upande wake msimu wa 2024-25 kwa asilimia kubwa ameyaona mabadiliko kwa wachezaji wazawa kitabia na mtazamo, jambo analoamini litakwenda kuwapa manufaa. JKT Tanzania iliyomaliza nafasi ya sita kwenye msimamo wa Ligi Kuu Bara 2024-2025, kikosi chake kimeundwa na wachezaji wazawa pekee. “Wengi wao wana data kubwa, wamekuwa…

Read More

Wachezaji Tanzania Prisons wakuna vichwa

WACHEZAJI wa Tanzania Prisons, wamesema baada ya kucheza mechi 30 za Ligi Kuu Bara msimu huu, kwao haijaisha hadi iishe michezo ya mtoano ‘playoff’ ambayo imeshikilia hatma ya kuwepo kwenye ligi hiyo kwa msimu ujao huku wakiweka mikakati ya ushindi. Tanzania Prisons iliyomaliza ligi nafasi ya 13 na pointi 31, itacheza dhidi ya Fountain Gate…

Read More

WASIRA:CCM HATUKATI MGOMBEA ILA TUNATEUA WACHACHE KATI YA WENGI

Na Mwandishi Wetu, Sengerema MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Stephen Wasira amesema baada ya Rais Dk.Samia Suluhu Hassan Kuvunja Bunge Juni 27 mwaka huu,kazi iliyobakia kwa Chama hicho itakuwa ni kuendesha taratibu za kupata wagombea na kusisitiza haitaka mtu bali itateua. Wasira ameyasema hayo leo Juni 24,2025 alipokuwa akizungumza katika mkutano wa hadhara…

Read More

Ile Dabi ya Kariakoo ndo leo!

BAADA ya danadana nyingi za mchezo wa Dabi ya Kariakoo, hatimaye ile siku ndio leo Jumatano na Dimba la Benjamin Mkapa, jijini Dar es Salaam, mbivu na mbichi zitafahamika baada ya kipyenga cha mwisho kupulizwa na mwamuzi raia wa Misri, Amin Mohamed Amin Omar. Ni mchezo namba 184 ambao tarehe yake iliahirishwa mara mbili, awali…

Read More

Simba inavyousaka ufalme 2024/25 | Mwanaspoti

KATIKA historia ya soka la Tanzania, Simba ni miongoni mwa klabu zenye mafanikio makubwa na mvuto wa mashabiki, huku ikiwa na upinzani wa jadi na Yanga. Baada ya msimu wa 2023/2024 kumalizika kwa majonzi huku Simba ikimaliza nafasi ya tatu kwenye msimamo wa Ligi Kuu Bara nyuma ya Yanga na Azam, wengi walidhani huenda zama…

Read More

Kinachoibeba Yanga Kariakoo Dabi | Mwanaspoti

MABINGWA watetezi wa Ligi Kuu Bara, Yanga haipo mbali kufukuzia taji hilo kwa mara ya nne mfululizo ambapo licha ya changamoto mbalimbali ilizopitia, kikosi hicho bado kipo njia kuu kikitaka kulinda heshima. Hadi tunapokwenda kushuhudia mchezo wa Dabi ya Kariakoo utakaochezwa leo kati ya Yanga dhidi ya Simba, Yanga ndio vinara wa ligi ikiongoza kwa…

Read More