Wananchi wanaoishi ndani ya leseni ya mgodi waandamana wakitaka kujua hatima yao
Geita. Baadhi ya wananchi wa vitongoji vya Katomaini, Magema, Mzingamo na Ikumbayaga, vilivyoko katika Mtaa wa Nyamalembo, Manispaa ya Geita, wameandamana hadi ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Geita wakitaka kujua lini maeneo yao yatafanyiwa tathmini na kulipwa fidia ili kuruhusu shughuli za uchimbaji madini kuendelea katika maeneo hayo. Akizungumza kwa niaba ya wananchi, Mwenyekiti…