WANACHAMA 280 WA CHADEMA WATIMKIA CCM
CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) kimeendela kuvuna wanachama wapya kutoka katika vyama vya upinzani, hali ambayo inaongeza idadi ya wanachama katika chama hicho ambao ni jeshi na moja ya karata muhimu katika uchaguzi unaotarajiwa kufanyika Oktoba mwaka huu. Katibu wa Halmashauri Kuu (NEC), Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa CCM Taifa, CPA Amos Makalla akiwa katika ziara…